nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Haya magari mnanunua hovyohovyo Japan na kujiendeshea kama pro....mjue yanachinja. Muwe mnaenda proper driving school na myaheshimu magari....yanaua...sawa vijana??..
Out.
Lione hili nalo!
R.I.P Jembe la "Girlfriend"
[/quote]huwezi kumjua kama haukuwa unafatilia wasanii toka miaka ya 2000.anaitwa george otieno tyson producer wa vipindi mbalimbali kwenye tv[ na films quote=kibheri;9682807]ndo nani huyu?
mchezaji wa zamani wa ashanti united na coastal union wana kimanumanuNdo nani huyu?
Taarifa nimezpata kutoka Morogoro GEORGE TYSON aliyekuwa mume wa MONALISA amefariki kwenye ajali leo Mwenye tarifa zaidi
mkuu ndo umeamkaTaarifa nimezpata kutoka Morogoro GEORGE TYSON aliyekuwa mume wa MONALISA amefariki kwenye ajalti leo Mwenye tarifa zaidi