stellahchriss
Member
- Oct 8, 2013
- 29
- 7
mkuu ndo umeamka
jamani hii bongo movie kuna nini tena tangu kanumba mpaka saivi imekua ni balaa R.I.P Tyson
Hapa mtaani kwetu tumezika watu watatu jana..
Dah,t shirt imemponza jaman!!!
Nani kaiandama? mbona unaona kama kufa sio haki yake? Au hujui kua kila chenye uhai kitakufa?
Ushauri wa bure, Wakafanye Toba
Umeona eeh yani..km kanumba vile anavuta wenzie..kila kukichaa...ila ndo kazi ya Mungu
RIP George,nimeumia kwa kweli nakumbuka ile movie yao ya kwanza kabisa,nimeisahau jina
tshirt tena?? How???