Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!. Asante kwa taarifaMbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) Mchungaji Dk. Getrude Lwakatare amefariki dunia Alfajiri ya leo. Mtoto wa amarehemu amethibitisha kifo.
View attachment 1424321
Mtoto wa Marehemu Mama Rwakatare, Mutta Rwakatare amethibitisha kwa kusema
"Ni bahati mbaya imetokea asubuhi ya leo saa 11 kasoro, alikuwa na matatizo ya moyo, jana tulimkimbiza Hospitali lakini bahati mbaya imetokea, tupo katika hatua ya kuangalia namna gani tutafanya ili tuweze kumpumzisha mama yetu" amesema Muta.
2013, Mama Rwakatare alifiwa na Mumewe, Mzee Kennedy Rwakatare. Zaidi soma TANZIA: Mch. Getrude Rwakatare amefiwa na mumewe
2012, Mama Rwakatare aliichongea JF Bungeni. Zaidi soma Mama Lwakatare aichongea JamiiForums
Tutakukumbuka kwa mchango wako kwenye nyanja za elimu na jamii kwa ujumla.
Umepigana vita na mwendo umeumaliza
Upumzike kwa amani!!
RIP Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare.
P