Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
So angechukua kimoja asingekufa??Sijawahi kukubali Watumishi wa Mungu kuwa wanasiasa kabisa mshika mawili mmoja humponyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So angechukua kimoja asingekufa??Sijawahi kukubali Watumishi wa Mungu kuwa wanasiasa kabisa mshika mawili mmoja humponyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
R.I.P mama.Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) Mchungaji Dk. Getrude Lwakatare amefariki dunia Alfajiri ya leo. Mtoto wa amarehemu amethibitisha kifo.
Mtoto wa Marehemu Mama Rwakatare, Mutta Rwakatare amethibitisha kwa kusema
"Ni bahati mbaya imetokea asubuhi ya leo saa 11 kasoro, alikuwa na matatizo ya moyo, jana tulimkimbiza Hospitali lakini bahati mbaya imetokea, tupo katika hatua ya kuangalia namna gani tutafanya ili tuweze kumpumzisha mama yetu" amesema Muta.
2013, Mama Rwakatare alifiwa na Mumewe, Mzee Kennedy Rwakatare. Zaidi soma TANZIA: Mch. Getrude Rwakatare amefiwa na mumewe
2012, Mama Rwakatare aliichongea JF Bungeni. Zaidi soma Mama Lwakatare aichongea JamiiForums
Tutakukumbuka kwa mchango wako kwenye nyanja za elimu na jamii kwa ujumla.
Umepigana vita na mwendo umeumaliza
Upumzike kwa amani!!
Sawa Mimi si muumini wake na sijawai kufika Dar. In short huyo ni mtu mkubwa tutaona mwili utakavyo agwa, ...kama wakimzika kimyakimya basi kongole kwa maelezo yako.Nakupa tahadhari nyingine. Usikusanyike kwenye huu msiba maana waumini nyie mkishajazwa yule Roho huwa mnaamini miili yenu imegeuka malaika. Chukua tahadhari!
Shukranindugu wamesema tatizo la moyo