Duh Ndio umemchoka ndugu yako kiwango hiki?R.I.P. Sasa wiki ndo imeanza sijui nani atafuata pale mjengoni. Mungu mlinde Mama Samia na Majaliwa.
Ndio maana kigogo alikuwa anawasema hawa watu wa Judiciary kwamba mbona wanachelewa kutangaza msiba?Mahakama ya Tanzania inatangaza msiba wa mtumishi wake
View attachment 1439419
Achana na wachawi haoAmlinde na mheshimiwa raisi bwana, usimtenge mzee!!
Chuki inazidi kukua!!naona kama watanzania wameanza kushangilia mambo ya tanzia kwa sasa sijui tunamkomoa nani, ila yote kwa yote pole kwa wafiwa ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo waliofikwa na msiba huu.
Hekima ni nini?Hio hekima alishawahi kuionyesha wapi/kwny tukio gani mkuu?
Wafanyabiashara waliokimbilia huko Zambia kutoka hapa Tunduma kwa kulalamikia utitiri wa kodi wabaki huko huko wala hamna Shida,kwani waliopo ni wengi na wengine wamekosa nafasi-Samia Suluhu,July,2018
Mule mule tu,asiyempenda kaja!
Habari huwa ni Nini?Sorry, hii nayo ni habari?
Mungu anisamehe jamani,ninavyosubiria kwa hamu tanzia ya watu wawili hapa nchini ? MmmmmhWatanzania Wengi ni wajinga hasa wa Chadema wanakesha mtandaoni wamesubiria mtu afariki
Haya maandishi yako yamebeba ujumbe mkubwa sana.Unakumbuka kuna kipindi Tz kulikua na habari za ajali kila siku? It was weird, kila baada ya muda ni update ya habari juu ya ajali. Wakikosa ajali ilikua unaletewa takwimu za ajali au hata ajali ya bajaji na pikipiki.
Nahisi na kwenye Tanzia ndipo tulipofikia. So hii siyo habari as ikitokea kafa mtu maarufu saa hii ambaye tunajua maisha yake japo kidogo huu uzi utakua ditched.
Nani ameshangilia? Ficha upumbavu na makalio yako!naona kama watanzania wameanza kushangilia mambo ya tanzia kwa sasa sijui tunamkomoa nani, ila yote kwa yote pole kwa wafiwa ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo waliofikwa na msiba huu.
Okay hakuna mkamilifu, huwezi kumfananisha maza na yule dingiWafanyabiashara waliokimbilia huko Zambia kutoka hapa Tunduma kwa kulalamikia utitiri wa kodi wabaki huko huko wala hamna Shida,kwani waliopo ni wengi na wengine wamekosa nafasi-Samia Suluhu,July,2018
Na hizo ndio hekima boss
Kama wewe unavyokesha kusubiri kuwajibuWatanzania Wengi ni wajinga hasa wa Chadema wanakesha mtandaoni wamesubiria mtu afariki
Sure boss.