TANZIA: Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Geita amefariki dunia jana jioni

TANZIA: Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Geita amefariki dunia jana jioni

Watanzania Wengi ni wajinga hasa wa Chadema wanakesha mtandaoni wamesubiria mtu afariki
Kuna mtu tunamsubiri baada ya hapo tunaenda na mengine. Wiki hii anakuja
 
naona kama watanzania wameanza kushangilia mambo ya tanzia kwa sasa sijui tunamkomoa nani, ila yote kwa yote pole kwa wafiwa ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo waliofikwa na msiba huu.
Chuki inazidi kukua!!
Msiba ukitokea chato shangwe yake sipati picha😀😀
 
Hekima ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyabiashara waliokimbilia huko Zambia kutoka hapa Tunduma kwa kulalamikia utitiri wa kodi wabaki huko huko wala hamna Shida,kwani waliopo ni wengi na wengine wamekosa nafasi-Samia Suluhu,July,2018

Na hizo ndio hekima boss
 
Watanzania Wengi ni wajinga hasa wa Chadema wanakesha mtandaoni wamesubiria mtu afariki
Mungu anisamehe jamani,ninavyosubiria kwa hamu tanzia ya watu wawili hapa nchini ? Mmmmmh
 
Unakumbuka kuna kipindi Tz kulikua na habari za ajali kila siku? It was weird, kila baada ya muda ni update ya habari juu ya ajali. Wakikosa ajali ilikua unaletewa takwimu za ajali au hata ajali ya bajaji na pikipiki.

Nahisi na kwenye Tanzia ndipo tulipofikia. So hii siyo habari as ikitokea kafa mtu maarufu saa hii ambaye tunajua maisha yake japo kidogo huu uzi utakua ditched.
Haya maandishi yako yamebeba ujumbe mkubwa sana.
Na wenye akili waelewe.
 
naona kama watanzania wameanza kushangilia mambo ya tanzia kwa sasa sijui tunamkomoa nani, ila yote kwa yote pole kwa wafiwa ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo waliofikwa na msiba huu.
Nani ameshangilia? Ficha upumbavu na makalio yako!

RIP hakimu.
 
Wafanyabiashara waliokimbilia huko Zambia kutoka hapa Tunduma kwa kulalamikia utitiri wa kodi wabaki huko huko wala hamna Shida,kwani waliopo ni wengi na wengine wamekosa nafasi-Samia Suluhu,July,2018

Na hizo ndio hekima boss
Okay hakuna mkamilifu, huwezi kumfananisha maza na yule dingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom