TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Acha mambo yako..... Kifo chake wapo nilipo sema kinahusiana na freemason?

Kanumba alipo fariki mpenzi wake lulu yupo hai au hayupo hai?

Halafu usiwe unakariri mambo.... Kafara za freemason siyo lazma ufe gafla kama kanumba.... We unajua mama yake p square alikufa kifo gani....

Hivi unawajua freemason kabisa mambo yao, au ni kudakia kutumia neno hilo ili basi tu. Naonaga mnapeana mengi huku kuna maneno ya kuita unaowafikiria.
 
Now Diamond has the total possession of the colony..

RIP IVAN.
 
R.i.p ivan Mungu awape nguvu watoto wake na mama yao

Cc.Nichumu Nibebike hapa ndio ninapokumbuka maneno yako
 
Back
Top Bottom