TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba, tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na Diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.

Leo hii kwenye post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulikuwa wapi kusema haya wakati hajafa?

Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko siku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Sasa hivi Zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa.

Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
 
kweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
 
Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.
Leo hii kwny post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulkuwa wapi kusema haya wakati hajafa??
Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko cku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Saiv zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa....
Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
avatar yako imenikumbusha mbali sana! Tola mla gizani.
 
Hawakuwa wameachana. Hakuna talaka. Ndio maana Chibu hakuweza kufunga ndoa na Zari. Anachoangalia Zari sasa ni mali za watoto wake! patamu hapo.......
 
kweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
Akili Kubwa ww
 
Back
Top Bottom