Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Mungu awape moyo mkuu familia na wafiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alale mahala alipojichagulia akiwa hai tumkumbuke sana Mungu siku zetu za uhai kabla mlango wa mbingu haujafungwa na ukomo wa pumzi tuishi kwa kupenda haki na kuwa na amani na watu wote huku tukisameheana na kuukomboa wakati kwa sala na maombi maana mshitaki wetu ibilisi kutwa anazungukia kututafuta atumeze, pole zari na watoto wako pole family ya ivan tuliobaki tujifunze kutoka kwa mwenzetu aliye tangulia kwamba Hata mtoto akiwa tumboni ni lazima azaliwe tu iwe kwakisu au natural lazima azaliwe na kifo ndio hivo hivo hata uwe tajiri au maskini mtoto au mkubwa kufa lazima ufe ikifika imefika tujenge mwisho mwema kila siku tuishi tukiona kama ni siku yetu ya mwisho tusali na kumtegemea Mungu kwa kila jambo
Mungu tujalie mwisho mwema, Amen.
Tuko na majonz ujue usianze vichekesho RIP Ivan. ....Oh! RIP Ivan...
I guess Lawrence atakuwa kwenye msiba mkubwa zaidi kuliko Zari... ndo ile watoto wa mjini wanasema "watoto wa marehemu wamenyamaza kulia, mpambe ndo kwanza analiamsha!!!"
Japo marehemu si vizuri kumsema sidhani kama hiyo ilikuwa CSR...ni show offs...tabia za kitoto ... ndio maana Zari alimtema...Utashangaa Mabilione wamekaa kimya na wapo ila kujionyesha nakujurusha kumefupisha maisha ya kijana.
Cc Diamnd
Hakitokufaaa chochote mali wala watot wako siku hiyo ikifika isipokuwa amali njema tu tumchen Mwenyez Mungu.Daah I see na mihela yote hiyo kaiacha?? Hapa ndo Mungu anapotukumbusha kumuabudu yeye maana hujui siku wala SAA, R. I. P Don
AmenHakika kila aliyezaliwa na mwanamke siku zake zinahesabika na ni chache hapa Duniani...Apumzike kwa Amani kaka Ivan
Tuishi kwa kumtegemea Allah na tuwe na utaratibu wa kuwasaidia wengine wenye uhitajiCha kujiuliza tymejifunza nin kupitia huu msiba wa ivan maan kifo ni mawaidha
Duniani tunapita hata uwe na hela kiasi gani au uwe maskini kiasi gani ni vizuri kumcha Mungu na kufanya yale yalio mema.Cha kujiuliza tymejifunza nin kupitia huu msiba wa ivan maan kifo ni mawaidha
Rest in perfect peace Ivan
Umenitoa chozi na sijuani nawe. Video clip ni post ya mwisho akiwa Uganda alirusha tarehe 11 May 2017. Uliwapenda sana sana watoto wenu wa kiume 3 na kuwajali na kuwaheshimu na Mama yao Zari..mfano mzuri kwa wababa.
Zari aliachana na Ivan na baadae kuja kuwa na Diamond Platnumz ambaye wana watoto wawili pamoja.
Moja ya biashara kubwa ni umiliki wa vyuo mbali mbali nchini South Africa, alizianzisha na Zari. Na biashara zingine, ni Tycoon Ivan.
Poleni sana kwa msiba.
View attachment 514047
kutoka online.
Picha wakati wa uhai wake bonyeza mshale kwenda kuziona kwenye post ingine humu...
=====
Mzazi mwenzake na Zari The Bosslady, Ivan Ssemwanga amefariki dunia katika hospitali nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya moyo.
Ivan ambaye alifanikiwa kupata watoto watatu na Zari, baby mama wa Diamond Platnumz, alikimbizwa hospitalini mapema wiki iliyopita baada ya kupoteza fahamu. Kupitia mtandao wa Instagram, Zari amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kuweka picha ya bosi huyo na kuandika ujumbe wa kusikitisha.