Basi, ngoja na mimi ngoja nisubiri tupitishe 40 kwanza....Tuko na majonz ujue usianze vichekesho RIP Ivan. ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi, ngoja na mimi ngoja nisubiri tupitishe 40 kwanza....Tuko na majonz ujue usianze vichekesho RIP Ivan. ....
Nisaidie kujua aliyepost ni ke au me ili nije na comentMkuu mbona kama unampa msuto life ila kupitia JF..?
Bado sijamsoma , anajiita kanali mstaafu ,ndio jina leke la hapa JFNisaidie kujua aliyepost ni ke au me ili nije na coment
Ndo walishatuzoeza kila kitu wana pulicizeWe unajuaje kama hawakuombana msamaha! Ama ulitaka wa publish magazetini?
Mkuu samahani wewe ni me au keNdo walishatuzoeza kila kitu wana pulicize
Ni PM nikutumie nauli uje gheto....vitu vingine havitakaji story nyingiBado sijamsoma , anajiita kanali mstaafu ,ndio jina leke la hapa JF
Nimemuliza sijui kama atajibuBado sijamsoma , anajiita kanali mstaafu ,ndio jina leke la hapa JF
ahaaaa.....bwana mdogo luku vere vereNi PM nikutumie nauli uje gheto....vitu vingine havitakaji story nyingi
avatar yako imenikumbusha mbali sana! Tola mla gizani.Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.
Leo hii kwny post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulkuwa wapi kusema haya wakati hajafa??
Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko cku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Saiv zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa....
Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
Akili Kubwa wwkweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
Due to ur paralyzed mindNonsense