Blaster B2M
Member
- Apr 1, 2017
- 86
- 50
RIP Ivan,
Poleni wote walioguswa na msiba.
Hivi huyu alikuwa wa wapi,,?
I guess ni mambo ya Kufa kufaana mkuu.mkuu wabongo kwa uzushi huwawezi......hapo bado gazeti la ijumaa wikienda halijaanza kuripot uzushi wake
Acha mambo yako..... Kifo chake wapo nilipo sema kinahusiana na freemason?
Kanumba alipo fariki mpenzi wake lulu yupo hai au hayupo hai?
Halafu usiwe unakariri mambo.... Kafara za freemason siyo lazma ufe gafla kama kanumba.... We unajua mama yake p square alikufa kifo gani....
Daaaaaaah mmeashafikia huku wadau..... HatareCheki tarehe ya kufa kwake, je inafanana na 3, 9,11,21,23,33. Kama ndivyo, inawezekana. Kanumba alifariki tar 7.4=11. Siku yao.
Dah watz tuna mawazo mgando sana. Kila nafsi itaonja mauti tena kila mtu na jinsi yake.Duh, Mondi nimeamini aliaga kwao, hapendagi usumbufu.
Kijana, usichukulie kila kitu seriously, uwe unaona na vitu ktk funny angle, utapunguza stress!Dah watz tuna mawazo mgando sana. Kila nafsi itaonja mauti tena kila mtu na jinsi yake.
Wenye hela hawakimbiwi kumbe?Pamoja na Ivan kuwa na hela lakini hujiuliza kwanini Zari alimkimbia???..
Vingine kubali vipo nje wa uwezo wako....