TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

m
jinga kweli wewe malabouk..................

utakuwa team wema
 
Kwani uliwai amini kuwa huyu Zari yuko ok upstairs?
 
na kwa wanaume pia.. mkuu haina maana nikiachana na mtu that means anaubaya tu muda wote .. jibu ni hapana kila binadamu ana ubaya wake na mazuri pia .. lakini wapenzi hupenda kusikia ubaya wa ex kuliko mazuri.. na ukiwa unamsifia ex wako lazima italeta sintofahamu kwenye mapenzi mapya.. alichofanya zari hata wewe unafanya sema tu kwa sababu hawajafa
 
Mkuu soma kwa makini sio kuandika vitu kedekede bila kujua point yangu hasa ni nn?? By the way umenena mengi ambayo hata mm sikuyagusia..ama umeandaa huo ujumbe kabla au unajibu maswali ya wengine kupitia post yangu

Ninasema Acha kumtukana Zari kwa kumsifia x wake. Hakuna mtu mbaya asiye na mauzri wala mzuri asiye na mabaya. Hivo mauzri yasifiwe na mabaya yanenwe katika muda muafaka.

Wewe umepata wapi ujasiri wa kuongea Zari alimwacha x wake ili akafanya umalaya? Umalaya upi Zari kafanya? Chuki ya nini?

Kuachana kimapenzi siyo uadui. Ni kosa la kiufahamu kulazimisha mapenzi kwa kudhani mnalea watoto wakati mnawaharibu.

Haina faida kulazimisha watu wakae pamoja pasipo amani.

LAKINI KIKUBWA, ACHA KUMLAUMU ZARI, NI BINADAMU NA USILAZIMISHE WATU KUWA KATIKA MAHUSIANO IKIWA WENYEWE WALISHAAMUA KUACHANA. WEWE INAKUUMA NINI HASA KWA ZARI KUMSIFIA X WAKE? UNAJUAJE KAMA HAKUWAHI KUMSIFIA AKIWA HAI?
 
Watanzania bana,wengi kilichowaumiza kwenye huu msiba ni ile fikra kwamba ZARI atapata urithi mkubwa kitu ambacho hawataki kitokee utadhani wana undugu wowote na ivan
 
Ushirikina ni sifa

Ila

Acha umbea
Ushirikini ni moja ya mizizi ya dhambi ikiwemo pia umbeya.na tabia ya mizizi ya dhambi ukiwa nao mmoja basi na mingine yote ipo ndani ya roho yako.maadam umekiri kuwa ni mshirikina basi ni mbeya pia
 
Uzi ukiingiliwa na wanawake matokeo yake ndio haya
 
Ushirikini ni moja ya mizizi ya dhambi ikiwemo pia umbeya.na tabia ya mizizi ya dhambi ukiwa nao mmoja basi na mingine yote ipo ndani ya roho yako.maadam umekiri kuwa ni mshirikina basi ni mbeya pia
Dhambi ndo kitu gani?

Hivi wajua maana ya ushirikina lkn?
 
Bwana weee kuzaa haimaniishi ndio mmeandikiwa muishi pamoja. Na huenda wewe ni mmoja wa wanaofanya idadi ya single mothers kuongezeka.

Watu wameachana kabla ata hujaanza msikia zari instagram ndo uje kuropoka leo. Muache mtoto watu
 
Well maisha ya zari na waume zake ni mazuri sana kwa ufupi ni mikataba tuu sio lazima muwekeane kambi na ndoa nini. Haya ndio maisha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…