TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Alitakiwa amove on na aoe kabisa, wallah leo angekuwa hai, kusema ukweli jinsi mond na zari walivyokuwa wanajianika lazima alikuwa anaumia tu.Sasa yeye yupo peke yake ,alitakiwa avute mke aweke ndani. Mimi nimejifunza kitu, mwenzako akikuacha na wewe tafuta mtu muwe public mahusiano yenu.
 


Kwa hiyo? Na wewe pia umetoa laana?
 
Inaonekana Dmond anampiga miti vizuri ndo maana kakimbia South Africa kaufata mtwangio bongo
 
tunawaambiaga kila siku nyanyasa sanaa mwanamke ila akija kusema no utakufa au kuchanganyikiwa.
 
Duniani hakuna mwanamke wakuniuwa,labda mama'angu mzazi alienileta duniani na kunilea ila sio hawa mnakutana mnadanganyana alimradi maisha yasogee!stress mpaka unakufa what for!?mie naamini ni kifo cha kawaida tu anachoweza kufa mtu yeyote.
 
Yani mshiko wote ameshindwa kupata mtoto mzuri kuliko Zari

At some point niliwaza kama ww. Ila mwanangu acha tu mapenzi hayaingiliki hayaambiliki.
Usiombe ukapenda....mtu unaweza ukawa na mihela kibao then ukaja ukazimika for some fine nd calm average chick.

Trust me i do kno what im saying.
 
Hivi kuna ugonjwa wa ukoo?
 
hehee mleta mada uache ujinag utakuwa team wema........... mana wao bila aibu wako kule insta bila kujali zarina na yeye ni mwanadamu yule ni baba wa wanawe hata wangekosana nini !!wale watoto wananawaunganisa halafu wao bila aibu wala soni wanaongea maneno ya kishenzi utadhani huyu wema hatakufa ama ni mtakatifu kumbe na yeye ni kahaba kama makahaba wengine wa kule kona bar mchewww hebu muache upuuzi na hizi team mav.i mav.... kuna wakati mnapaswa kutumia busara na utashi wa kibinadamu team ushuzi wengine hata hamewafahamu hao mnaoshabikia kwa kuwaona zaidi ya picha zao lakini mwajifanya wajuaji nyamafu zako
 
Ni wazi Sasa kutokana na Maelezo ya Baba ya Ivan Ssewanga Kifo Cha Mwanae kimesababishwa na Msongo wa Mawazo taangu Zari Aondoke.

Tujiulize Zari baada ya Kuondoka alienda wapi?

Na Kama aliendelea Kubakia South Africa Kwanini Ivan hakumfata huko?

Zari baada ya Kuachana na Ivan Alianzisha Uhusiano na Nani?

Wanasema Stress ndo Zimemuua Ivan je nani aliyemlanghai Zari?

Daah Maswali hayo yanaleta jibu Moja nashauri Diamond asiende huko Uganda Ila Zari yeye kama anaona Inafaa aende Akamzike Baba wa watoto wake.
 
Hakuna mwenye majibu sahihi labda ukivaa viatu vya Ivan na kupata picha what he have been through ndo utupe mtazamo wako kabla hujafa,,,,,nkutakie kuvaa kwema
 
Kwa nje ni rahisi kuonekana kirahisi ila huwa maumivu yake anajua Mungu tu!
"Usiombe kuachwa na mwanamke unayempenda"
Mizinga ya konyagi utakunywa kila mwanamke utakuwa naye ila maumivu yanabaki palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…