TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Pole kwa familia yake esp watoto[emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
RIP ivan. Huyu baba alijua kula bata. Picha zake ni kuonyesha madola tu.na hawajahi kuonyesha mwanamke wake.juu ya yote alikuwa anawapenda sana watoto wake.
 
Jana usiku TV ya Bukedde ilionyesha documentary yake akitoa misaada kwa wanafunzi wa primary. The guy looked sick. RIP
 
Duh, Mondi nimeamini aliaga kwao, hapendagi usumbufu.
 
Bilionea wakat aliondoka hapo ni watoto tu watakaoangaliwa tu na si vingine yaan tunaambiwa tunatakiwa kuwa wavumilivu kwenye ndoa zetu hii hali tayari mnawatoto inahitajika hekima na busara ya hali ya juu na uvumilivu mnoo
Sasa watoto siwapo na zari
 
Tufufulie Nyerere watanzania tutakushukuru sana, otherwise acha kum kufuru M/Mungu
Hawakujibiwa watoto, jibu langu lina muktadha mpana.

Nikudokolee kidogo!

Jibu halipendekezi kuwa linataka kumfufua mfu bali limeilenga roho ya mchokoza hoja kuwa ina advocate kifo na si uhai.

Jitenge na roho mbaya unijibu aivani alikuwa na umri miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…