miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mafinyo finyo ya ndani ya kuta nne acha tu..Ilikuaje zari akakimbia hizi hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mafinyo finyo ya ndani ya kuta nne acha tu..Ilikuaje zari akakimbia hizi hela
mkuu wabongo kwa uzushi huwawezi......hapo bado gazeti la ijumaa wikienda halijaanza kuripot uzushi wakeSasa hapo kajitabiriaje!?!?
Wabongo acheni roho za marehemu zipumzike kwa amani.
Hupendi afufuke/awe hai?Unataka kumfufua?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaahUnataka kumfufua?
Tufufulie Nyerere watanzania tutakushukuru sana, otherwise acha kum kufuru M/MunguHupendi afufuke/awe hai?
Hilo neno tu KKB umenikumbusha mbali kweli wenyewe tulikuwa tunatafsiri KULA KULALA BURE.Yaan KKKB (kula,kunya kulala kwa baba) mnajulikana kwa posti zenu za undezi any way ukikua utaacha
[emoji12] [emoji12] [emoji12] , haki ya nani ukiwa mkurupukaji JF utaiona chungu kila sikuu[emoji12] [emoji12] [emoji12]Unataka kumfufua?
ha haKwahiyo mondi alifurahi mtoto kufanana na huyo Marehemu?
Mkuu tushafundishwa ukauzu na mkuu wetu ukidanja wachaChe wasikitike wengine waendelee na job
Duh, Mondi nimeamini aliaga kwao, hapendagi usumbufu.Rest in perfect peace Ivan
Umenitoa chozi na sijuani nawe. Video clip ni post ya mwisho akiwa Uganda alirusha tarehe 11 May 2017. Uliwapenda sana sana watoto wenu wa kiume 3 na kuwajali na kuwaheshimu na Mama yao Zari..mfano mzuri kwa wababa.
Zari aliachana na Ivan na baadae kuja kuwa na Diamond Platnumz ambaye wana watoto wawili pamoja.
Moja ya biashara kubwa ni umiliki wa vyuo mbali mbali nchini South Africa, alizianzisha na Zari. Na biashara zingine, ni Tycoon Ivan.
Poleni sana kwa msiba.
View attachment 514047
kutoka online.
Picha wakati wa uhai wake bonyeza mshale kwenda kuziona kwenye post ingine humu...
=====
Mzazi mwenzake na Zari The Bosslady, Ivan Ssemwanga amefariki dunia katika hospitali nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya moyo.
Ivan ambaye alifanikiwa kupata watoto watatu na Zari, baby mama wa Diamond Platnumz, alikimbizwa hospitalini mapema wiki iliyopita baada ya kupoteza fahamu. Kupitia mtandao wa Instagram, Zari amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kuweka picha ya bosi huyo na kuandika ujumbe wa kusikitisha.
Sasa watoto siwapo na zariBilionea wakat aliondoka hapo ni watoto tu watakaoangaliwa tu na si vingine yaan tunaambiwa tunatakiwa kuwa wavumilivu kwenye ndoa zetu hii hali tayari mnawatoto inahitajika hekima na busara ya hali ya juu na uvumilivu mnoo
Hawakujibiwa watoto, jibu langu lina muktadha mpana.Tufufulie Nyerere watanzania tutakushukuru sana, otherwise acha kum kufuru M/Mungu