Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mafinyo finyo ya ndani ya kuta nne acha tu..
kabisaMh zari kukimbia huu ufahari basi ipo namna
Kamfanyia vituko gani?Kama taarifa hii ni kweli, basi tumwombee Mungu aiweke roho yake pema peponi.
Kulingana na vyombo vya habari Uganda, wiki mbili au tatu zilizopita jamaa huyu akiwa Kampala katika maisha yake ya kawaida aligundua kuwa kuna mtu aliuza nyumba zake kadhaa kinyemelea bila yeye mwenyewe kujua. Hiyo ilimsitua sana kwa vile alishabadilisha umiliki wa nyumba zote zile pamoja na biashara zake zote na jina la Zari halikuwapo tena ila yeye peke yake; nadhani akidhania kuwa ni Zari kamchezea hivyo, akaamua kutangaza kuuza ile nyumba ya ghorofa moja aliyokuwa amemjengea mama yake Zari ambayo inasemekakana nayo ilikuwa katika jina lake Ivan peke yake. Mauti yamemkuta kabla nyumba hiyo haijanunuliwa. Nadhani mgawanyo wa mali zake utaleta mzozo sana katika familia yake kama hakuacha makaratasi mazuri kisheria; basi Zari atashinda na atachukua kila kitu pamoja na vituko vyote alivyomfanyia katika maisha.
What was the source of his wealth ??
Alikua anaumwa nn exactly ??
Hili nalo neno aseeeeeRIP the don king Ivan
The Don aliishi the wealth life but not the health life, pesa na lifestyle yake imemmaliza, vyakula alivyokula especially vya mafuta vimemmaliza na kutokufanya mazoezi...RIP prezdaa of rich gang
Amezaliwaa 12/12/1977 ko amefariki akiwa na miaka 39 na miezi kadhaaHawakujibiwa watoto, jibu langu lina muktadha mpana.
Nikudokolee kidogo!
Jibu halipendekezi kuwa linataka kumfufua mfu bali limeilenga roho ya mchokoza hoja kuwa ina advocate kifo na si uhai.
Jitenge na roho mbaya unijibu aivani alikuwa na umri miaka mingapi?