TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

kweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
Nimesoma mahala kwamba mke wa Dayamondi Platinamu anadai yeye ni mke halali wa Marehemu hivyo anastahili urithi kama mke halali wa marehemu.

Wanawake kwa fursa tu hamjambo.
 
Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba, tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na Diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.

Leo hii kwenye post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulikuwa wapi kusema haya wakati hajafa?

Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko siku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Sasa hivi Zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa.

Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
(Tusi kubwa)unauhakika kama Zari ndio alikuwa sababu ya kuachana kwao?!(tusi kubwaa)unajua amevumilia miaka mingapi?![emoji17]!

Halafu Zari alikuja kuwa na diamond mwaka mmoja baada ya kuachana na Ivan
 
Mkuu [emoji28] [emoji28] [emoji28] hayo matusi makubwa natamani kuyajua.

Ila zari na Ivan walitengana muda mrefu. Kipind kile sporah show inabamba zari aliwahi hojiwa baada ya kuachana na ivan. Kipind hicho wabongo wachache ndo walimfahamu Zari the boss lady
 
Kwani kuachana na dhambi wewe taahila ... Wewe umeaga wangapi ambao bado hawajafa...

Acha tabia ya kunyooshea vidole watu kwa vitu vya kijinga ...
 
Mleta mada yupo sahh hata mkinitukana. Somen nn Zari kaandika then tafakar ndo utukane.
 
Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba, tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na Diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.

Leo hii kwenye post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulikuwa wapi kusema haya wakati hajafa?

Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko siku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Sasa hivi Zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa.

Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
Acha Unaa. Mzee mafew kaacha ndoa yake na aliyechuma naye tangu ujana. Kwenda oa na kuzaa na under40 hamsemi why Zeri? MaFew ni above 70! Unazani atakayetangulia hataenziwa?
 
Umbea tu,mnajua ilikuwaje hadi wakaachana? Ya kwenu yanawashinda kazi kufyatua ya watu. Hata asipopata urithi ww utafaidika nn.
Km ww ni mwanaume,pole kwa mke wako. Hana mme hapa.
 
Nimesoma mahala kwamba mke wa Dayamondi Platinamu anadai yeye ni mke halali wa Marehemu hivyo anastahili urithi kama mke halali wa marehemu.

Wanawake kwa fursa tu hamjambo.
Ha ha ha Mkuu yaan tunaitumia vizuri fursa ya kusema nimezaa nae, mke halali wakati keshazaa na Mondi? Ila ni bora asimamie yeye mali za watoto kuliko akiwaachia ndugu wa Ivan.

Familia za kiafrika uachane na mume, ukazae na mwingine then uje udai urithi mmh sijui kama watampa zote.
 
Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba, tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na Diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.

Leo hii kwenye post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulikuwa wapi kusema haya wakati hajafa?

Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko siku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Sasa hivi Zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa.

Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
Kwani waliachana kwa ubaya????
 
kweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
Hizo Imani za kuteseka then bado unavumilia ndoa tunazo ngozi nyeusi tu, ukimuona mwenzio katoka kwenye ndoa ni heri ukae kimya kuna mateso mengi mno ndani yake
 
na kwa wanaume pia.. mkuu haina maana nikiachana na mtu that means anaubaya tu muda wote .. jibu ni hapana kila binadamu ana ubaya wake na mazuri pia .. lakini wapenzi hupenda kusikia ubaya wa ex kuliko mazuri.. na ukiwa unamsifia ex wako lazima italeta sintofahamu kwenye mapenzi mapya.. alichofanya zari hata wewe unafanya sema tu kwa sababu hawajafa
Nimekupenda my love
 
Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba, tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na Diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.

Leo hii kwenye post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulikuwa wapi kusema haya wakati hajafa?

Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko siku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Sasa hivi Zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa.

Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
Nawewe ulewa usiwe kama zari...

Sijui mibongo mingine ikoje
 
Back
Top Bottom