The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nimesoma mahala kwamba mke wa Dayamondi Platinamu anadai yeye ni mke halali wa Marehemu hivyo anastahili urithi kama mke halali wa marehemu.kweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
Wanawake kwa fursa tu hamjambo.