TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Meneja wa CRDB Bank tawi la Kibondo amefariki kwa matatizo ya kushindwa kupumua. Mungu ampumzishe kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, amefariki kijana.
255752882462_status_ae0e4652d95d42249af929b09ce8baf0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na inaweza kuwa worse kuliko sasa.
... kama ni ndege, ndio kwaanza mhudumu amesimama mbele kuwaeleza abiria hatua mbali mbali za kiusalama; milango ya dharura iko wapi; marufuku kuvuta sigara; na likitokea tatizo la oksijeni vifaa vya kusaidia kupumua viko wapi na vinatumikaje na unatakiwa ujisaidie mwenyewe kabla ya kuwasaidia wengine!

Sasa mdogo mdogo naona ndege inaelekea kwenye runway kusubiri amri ya control tower tayari kuruka! Daaaaah! Navuta pumzi, naona jinsi majengo, watu, na vitu vitatembea taratibu kupishana na ndege kuelekea njia yake; naona abiria wote kimya kila mmoja ameinamisha kichwa; wengine wamefumba macho maombi kwa wanayemwabudu; majasiri wachache wanapiga stori kwa sauti ya chini kabisa! Ni mitambo na engine za ndege zinazotoa sauti tu kwa sasa - naam, tuko kwenye UKIWA! Eeee Mola tunusuru na janga hili Mungu wetu!
 
Hatari sana na hao ndiyo wanao fahamika
TYK

Kwa wale tunaomfahamu wakili Gaudiose Ishengoma, amelala usingizi wa milele. Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Agha Khan, Dsm alikolazwa kwa tatizo la upumuaji.

Apumzike kwa amani.

In God we Trust
 
Alikua amejitolea sana kuwapigania wazee wetu waliodhulumiwa malipo yao ya Afrika Mashariki.
Ingawa wengi bado hawajapata haki yao, lakini aliwapa legal assistance wazee wetu hawa.
Ambao jasho lao limeliwa.
 
Back
Top Bottom