Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Kina nani tena?Mmalize Likizo mje mjini tusaidiane kwa pamoja Aiseeee. Tusikimbiane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani tena?Mmalize Likizo mje mjini tusaidiane kwa pamoja Aiseeee. Tusikimbiane
Yeah, amefariki kijana.Meneja wa CRDB Bank tawi la Kibondo amefariki kwa matatizo ya kushindwa kupumua. Mungu ampumzishe kwa amani
Sent using Jamii Forums mobile app
AnglicanSiyo pastor,askofu wa catolic church Kama sikosei
Watumishi wa Umma walioko Likizo MpwaKina nani tena?
Waje wazuie vifo au tushiriki nao maziko na kutembelea wagonjwa?Mmalize Likizo mje mjini tusaidiane kwa pamoja Aiseeee. Tusikimbiane
Si ajabu alikua usalama. PiaJamaa alikuwa ni Brigedia Jenerali, Jaji na Pastor pia!!
... kama ni ndege, ndio kwaanza mhudumu amesimama mbele kuwaeleza abiria hatua mbali mbali za kiusalama; milango ya dharura iko wapi; marufuku kuvuta sigara; na likitokea tatizo la oksijeni vifaa vya kusaidia kupumua viko wapi na vinatumikaje na unatakiwa ujisaidie mwenyewe kabla ya kuwasaidia wengine!Na inaweza kuwa worse kuliko sasa.
A na B ni majibu sahihi Mpwa
Mficha maradhi....Mungu tusaidieDah! Hii wiki sijui imekuwaje Tanzia zimekuwa nyingi. May his soul Rest in Peace.
TYK
Kwa wale tunaomfahamu wakili Gaudiose Ishengoma, amelala usingizi wa milele. Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Agha Khan, Dsm alikolazwa kwa tatizo la upumuaji.
Apumzike kwa amani.
Dah! Hii wiki sijui imekuwaje Tanzia zimekuwa nyingi. May his soul Rest in Peace.
Cc.Mmalize Likizo mje mjini tusaidiane kwa pamoja Aiseeee. Tusikimbiane
Mmalize Likizo mje mjini tusaidiane kwa pamoja Aiseeee. Tusikimbiane
Ubaya saivi hakuna kwenda nje tunabanana hapa hapa bongo kapuku na wazitoHatari sana na hao ndiyo wanao fahamika
In God we Trust
DahThubuutuuuuu haji mtu hapo na kama ni jumba jeupe chukueni tu
In God we Trust