Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

dah! Aisee its sad tranquility,....taarifa hii imenistua na imenisikitisha pia,RIP shemeji yangu, pole sana kakakiiza,Mwenyezi Mungu awe nawe na watoto kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu,Tulimpenda lakni Mungu amempenda zaidi
 
Jamani this is so sad..pole sana kaka Kiiza Mungu akupe faraja moyoni na nguvu ya kuweza kuyashinda machungu. Apumzike kwa amani dada yetu
 
Pole sana KakaKiiza. Mungu awe nawe katika wakati huu mgumu. Kiresua mazishi wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ni mtihani mkubwa sana kufiwa na Mwenza kuliko na mtu yeyote yule... Mwenyezi Mungu akupe nguvu, Imani na Amani katika kipindi hiki kigumu ambacho wamhitaji kuliko wakati wowote ule na ajalie wepesi katika shughuli hii nzito ya msiba. Na Mwenyezi Mungu mwingi wa upendo amjaalie marehemu neema ya kuweza kupumzika kwa Amani.

Pole sana kaka Kiiza. Pamoja sana.
 
pole sana Kakakiiza ni ngumu sana jamani Mungu akupe faraja na kukupa nguvu wakati huu mgumu na mchungu
 
pole sana mkuu, inasikitisha kuwa kumkosa mama mjamzito au mtoto mchanga na wakati mwingine kwa mambo ambayo yanaepukika.

So sad.

May God give your courage during this difficult moment in life
 
Pole sana mkuu kaka kiiza. It really pains a lot to loose some one you love, and no simple word can ease your pains. Just believe in God, is the only one who can uplift your tribulations. In that darkest hour will be there for you.

RIP MAMA KAKAKIIZA.
 
Pole sana KakaKiiza. Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana Chief KakaKiiza M.Mungu akufanye ni mwenye subira katika wakati huu mgumu.
 
Last edited by a moderator:


Dear KakaKiiza

Life.....so fragile,
Loss....so sudden,
Heart....so broken,...
in the wake of such a loss,
we are haunted by things we dont,
and may never understand.
Yet the solace we seek may not come from answers.
So we look for comfort in the belief of love's everlasting connection.
May that love lift you and hold you close,
and give you peace.
 
Duh! Ama kweli kifo hakina adabu!
Poleni sana wafiwa
pole sana Kakakiiza kwa kipindi hiki kigumu ambacho ni ngumu sana kukuizoea ila kwa kuwa tuna matumaini.
Pole sana KakaKiiza!

MUNGU NA AKUPE FARAJA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU MPENDWA WETU.
 
Pole sana kaka mungu akutie nguv ktk kpnd hki kigum unachopitia
 

pole. R.I.P mama KIIZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…