TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

Mkuu hiki chuo ni miongoni mwa sehemu zilizokuwa zimeathiriwa sana na Corona na kuna mtawa alifariki hapo Tanzania ikaficha ukweli ila Vatcan wakamtangaza kuwa kafa kwa COVID 19. Nakumbuka ilibidi kifungwe na watumishi wote waliondolewa chuoni hapo.
 
Kuna ukweli hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini hii itafanya tujueane zaidi.

Naunga hoja.


R. I. P
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote walikua wanaenda india na ulaya kutibiwa tatizo la upumuaji?
 
Mkuu nimekuelewa Sana , access ya kutibiwa hospitali za nje ilipopotea inaezekana tukawa nagonjwa wengi waliotakiwa ku attend clinics huko waki risk maisha yao hapa hapa ,

Nadhani Ni wakati sasa serekali ifikirie kuboreaha sekta ya afya , maana kwetu bado Hali ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Nikajua umetuacha mbele ya haki mkuu...maana huko kwenu hali ni tete aise....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…