TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

Mkuu hujui tuko vitani?tofautisha vifo vya mwaka jana na mwaka huu ,wacha matangazo ya vifo yabaki hapahapa kama siku zote,kwanini sasatutoe wakati huko nyuma watu walikuwa wanatangaza vifo vya wapendwawao hapa hapa.
 
Takwimu
!!???
Kuwa mwangalifu Mkuu bado tunaipenda Jf!
 
Mkuu hiki chuo ni miongoni mwa sehemu zilizokuwa zimeathiriwa sana na Corona na kuna mtawa alifariki hapo Tanzania ikaficha ukweli ila Vatcan wakamtangaza kuwa kafa kwa COVID 19. Nakumbuka ilibidi kifungwe na watumishi wote waliondolewa chuoni hapo.
No research, no right to speak.

Umesema uongo wa wazi.

1. Tangu ugonjwa huu uingie nchini Mpaka jana, hakuna mfanyakazi, au mwanafunzi yeyote aliyekufa.
2. Chuo kilifungwa tarehe 17 Machi kufuatia AGIZO LA Waziri Mkuu.
3. Prof. Mbunda amefariki kwa ugonjwa wa moyo na si COVID19

Huyo mtawa ambaye kifo chake kilifichwa unaweza kumtaja kwa jina? Unaweza kutwambia alikuwa mwanafunzi au mfanyakazi? Kama ni mfanyakazi, wa kitengo gani? Kama ni mwanafunzi, alikuwa akisomea nini? Na alifariki lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No research, no right to speak.

Umesema uongo wa wazi.

1. Tangu ugonjwa huu uingie nchini Mpaka jana, hakuna mfanyakazi, au mwanafunzi yeyote aliyekufa...
Wewe hufuatilii vitu halafu unabishabisha tuu. Hukuona tangazo la kuwaondoa wafanyakazi wote chuoni na wakaambiwa watalipwa nusu mshahara? Unajua kilichosababisha lile tangazo kutoka?
 
We belong to God and to Him we shall return. RIP Prof.
 
Na waandike kazikwa na watu wangapi, na kama maiti ilivalishwa PPE au hapana.
 
Wewe hufuatilii vitu halafu unabishabisha tuu. Hukuona tangazo la kuwaondoa wafanyakazi wote chuoni na wakaambiwa watalipwa nusu mshahara? Unajua kilichosababisha lile tangazo kutoka?
Mimi ni mfanyakazi wa RUCU.

Tulipewa likizo ya dharura kwa sababu za kifedha na si kwa kuwa na wagonjwa wa Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…