TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

wanaoafiki waseme NDIYO
wasioafiki waseme SIYO
[emoji113]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nikuulize kitu fulani,hapa Bongo mtu kama una pesa za kutosha hakuna mahali au hospitali hata moja unaweza kupata tiba sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Aina hii ya Wasomi vijana wa Sasa, tunaweza kuwapata humble Kama Prof. Mbunda?
 
Lakini isiwe kwa watu mashuhuli...

Kweli leo Bashite nae akitutoka apelekwe huko?

Sent using iphone pro max
 
Saa 7 mchana mwili wa Prof. Fulgens Mbunda ulifikishwa kanisa la Parokia ya Changanyikeni kwa ajili ya misa ya mazishi.

Padre Dkt Fidelis Mgimwa wa RUCU anaonekana akiongoza Sala mlangoni mwa kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…