Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Na kweli maana kuna kipindi alikuwa akiambiwa amefuata fursa alikiwa hakawii unakula block kwa kwenda mbele. Ila hapo uliposema ni mtutsi nimeshangaa kidogo maana kuna mtu alishaniambiaga kwamba jina lake 'Ntuyabaliwe' maana yake ni kwamba (kwa kinyarwanda) 'hujaambiwa' yaana majina haya ya kitutsi ni majina ya kifahari.Maisha na yule atakaempenda kiukweli,tatizo litakuwa huyo mwanaume na yeye atafuata fursa kwa Jack. Kama Jack alivyofuata fursa kwa Mengi.
Kumbe walikuwa hawajaachana? Sasa aliwezaje kufunga ndoa na jacline au ni ndoa ya bomani?Ukweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
Ni ndoa ya bomaniKumbe walikuwa hawajaachana? Sasa aliwezaje kufunga ndoa na jacline au ni ndoa ya bomani?
Ukweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
Will Klyn ameachiwa 50% of everythingKama will aliyoacha Mzee watoto wakubwa hawataikubali basi kuna weza kukazuka ugomvi wa mali kati ya watoto wakubwa na Jacqueline.
aiseeWill Klyn ameachiwa 50% of everything
kwahiyo ilikuwa oparesheni?Na kweli maana kuna kipindi alikuwa akiambiwa amefuata fursa alikiwa hakawii unakula block kwa kwenda mbele. Ila hapo uliposema ni mtutsi nimeshangaa kidogo maana kuna mtu alishaniambiaga kwamba jina lake 'Ntuyabaliwe' maana yake ni kwamba (kwa kinyarwanda) 'hujaambiwa' yaana majina haya ya kitutsi ni majina ya kifahari.
Mfano Kagame maana yake ni mtu mbabe, mbishi, mgumu nk
Ila muda utaongea itabidi tuangalie nini kitatokea maana naona mpaka kuna ndugu zake wenye sura za kitutsi naona walikuwa washaingia mpaka Kwenye Dk. Mengi personal with disability project
Will Klyn ameachiwa 50% of everything
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu ongea Kiswahili anachoweza kuelewa Mkenya. Sijashika kitu hapo.
Mkuu hii story yote ni bizarre malawyer watavutana sanaIf that’s true then it is not fair to the elder kids of Mr & Mrs Mengi Original.
Mkuu hii story yote ni bizarre malawyer watavutana sana
Kingunge na mkewendugu nabii umeeleweka, tuliyaona pia ya kibonde na mkewe
Hata Kama mimi ningekua ni mtoto mkubwa hiyo will kama haieleweki nisingeikubali , Mzee atakua ameiandika hiyo will huku juu akiwa kiunoni kwa JackKama will aliyoacha Mzee watoto wakubwa hawataikubali basi kuna weza kukazuka ugomvi wa mali kati ya watoto wakubwa na Jacqueline.
Malipo ni hapa hapaMaisha na yule atakaempenda kiukweli,tatizo litakuwa huyo mwanaume na yeye atafuata fursa kwa Jack. Kama Jack alivyofuata fursa kwa Mengi.
Mengi hakuwa anamiliki mali zote za IPP baada ya kutengana na mkewe familia iligawana share na wamiliki walikuwa ni (Mengi,Mercy,Regina na Abdiel) so hiyo 50% atakayopata ni kutoka kwenye share za Mengi na sio share zote za IPPWill Klyn ameachiwa 50% of everything
Ulifikiri kwa kina kwa kwa kweli, leo naanza kuelewa.Malipo ni hapa hapa
Mambo ya watu yanakuhusu nn ww kibwengo na umejua vip yote hayo kama sio upashukuna[emoji23] [emoji23]Mengi hakuwa anamiliki mali zote za IPP baada ya kutengana na mkewe familia iligawana share na wamiliki walikuwa ni (Mengi,Mercy,Regina na Abdiel) so hiyo 50% atakayopata ni kutoka kwenye share za Mengi na sio share zote za IPP