Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
madale wana roho mbaya acha kuwatetea kwanini hawjaenda kumsalimia mgonjwa?Hapo jamani diamond hata simlaumu mwenye mama juzi kaposti picha anakata viuno na kupata kinywaji wakati mama yake anapulia mshine kweli akii ni nywele du nadhani kichwani zari sio mzima
Hizi akili ndio tatizo la maendeleo AfricaLazma show ifanyike... Ivan aliogopa kumtoa mwanae kafara... Zari kweli ana roho ngumu kamdondosha bi mdashi.... Hela kweli tamu.... Mama diamond sijui kajipangaje
We kaka una uhakika au mradi umeongeaLazma show ifanyike... Ivan aliogopa kumtoa mwanae kafara... Zari kweli ana roho ngumu kamdondosha bi mdashi.... Hela kweli tamu.... Mama diamond sijui kajipangaje
ni muumn sana wa ushirikina ww eLazma show ifanyike... Ivan aliogopa kumtoa mwanae kafara... Zari kweli ana roho ngumu kamdondosha bi mdashi.... Hela kweli tamu.... Mama diamond sijui kajipangaje
Mnalazmisha Ndoa ya mond na Zali kwa manufaa ya nani!!!lazima atapiga show si hana haya uyu jamaa
Duh!!!Lazma show ifanyike... Ivan aliogopa kumtoa mwanae kafara... Zari kweli ana roho ngumu kamdondosha bi mdashi.... Hela kweli tamu.... Mama diamond sijui kajipangaje
Mkuu jamani una hakika?Lazma show ifanyike... Ivan aliogopa kumtoa mwanae kafara... Zari kweli ana roho ngumu kamdondosha bi mdashi.... Hela kweli tamu.... Mama diamond sijui kajipangaje
madale wana roho mbaya acha kuwatetea kwanini hawjaenda kumsalimia mgonjwa?
madale wana roho mbaya acha kuwatetea kwanini hawjaenda kumsalimia mgonjwa?
labdakama wakizika leo basi anaweza piga show ya kisailensa yani
Waafrika hatuachi asili yetu. Ngoja siku ufiwe na ndugu mfululizo hlf utuhumiwe umewatoa kafara ndo utaijua vizuri hii dunia.Lazma show ifanyike... Ivan aliogopa kumtoa mwanae kafara... Zari kweli ana roho ngumu kamdondosha bi mdashi.... Hela kweli tamu.... Mama diamond sijui kajipangaje