TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

Hapo jamani diamond hata simlaumu mwenye mama juzi kaposti picha anakata viuno na kupata kinywaji wakati mama yake anapulia mshine kweli akii ni nywele du nadhani kichwani zari sio mzima
madale wana roho mbaya acha kuwatetea kwanini hawjaenda kumsalimia mgonjwa?
 
Lazma show ifanyike... Ivan aliogopa kumtoa mwanae kafara... Zari kweli ana roho ngumu kamdondosha bi mdashi.... Hela kweli tamu.... Mama diamond sijui kajipangaje
ni muumn sana wa ushirikina ww e
 
Ubaya wa mikataba ukiuvunja unawalipa zaidi maana kuna gharama za matangazo, etc yaani waaminishe watu kuwa fulani atakuwepo afu ghafla asitokkee mbona utairudisha hela ya watu bila kupenda
 
Kwa kunishitua kote kumbe ndi hii habari ila R.I.P

the great
 
madale wana roho mbaya acha kuwatetea kwanini hawjaenda kumsalimia mgonjwa?

Si watetei wala sio mashabiki wa zari na wala diamond akili zao wote ziko sawa huku mwenye mama anakata viuno mwenye mkwe anafanya party ya watu wako uchi na kujisifia mungu anawaona wote hao alikuja kwa pupa sana nakuona kaiweza hiyo familia kumbe fyu madale madale tu hawi mbezi wala masaki
 
madale wana roho mbaya acha kuwatetea kwanini hawjaenda kumsalimia mgonjwa?

Si watetei wala sio mashabiki wa zari na wala diamond akili zao wote ziko sawa huku mwenye mama anakata viuno mwenye mkwe anafanya party ya watu wako uchi na kujisifia mungu anawaona wote hao alikuja kwa pupa sana nakuona kaiweza hiyo familia kumbe fyu madale madale tu haiwi mbezi wala masaki
 
Lazma show ifanyike... Ivan aliogopa kumtoa mwanae kafara... Zari kweli ana roho ngumu kamdondosha bi mdashi.... Hela kweli tamu.... Mama diamond sijui kajipangaje
Waafrika hatuachi asili yetu. Ngoja siku ufiwe na ndugu mfululizo hlf utuhumiwe umewatoa kafara ndo utaijua vizuri hii dunia.
 
f63624f7a2a4687e33d9db8b37a51f6c.jpg
so sad....
 
Back
Top Bottom