TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

Ili ni pigo kwa Tanzania, yaani hata mazishi ya mama Mwakyembe bado huku kuna msiba mwingine. Almight awape nguvu watanzania wote katika kipindi hiki kigumu.
 
Kuna wakati ukisikia dunia nzito kwa kilo zisizojulikana basi ndio wakati kama huu anaoupitia Zari, hajamaliza machungu ya kufiwa na baba wa watoto wake anakutana na hili la kufiwa na mama yake mzazi. Pole sana Zarinah Hassan na familia yako kwa ujumla. Mwenyezi Mungu Mungu awape nguvu kuhimili haya mapito.
Hv msiba wa baba watoto wake ulimuumiza???Tayari alishakuwa na dogodogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lala kwa amani mama zari .. zari pole sana na Mungu akusimamie kipindi hichi kigumu
 
Fare thee well Mum na pole zake mno Shemela wetu Zari. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!
 
WHO IS NEXT? UNAJUA? WOTE HATUJUI! HILO PANGA LITAPITA NA WENGI NI SYSTEAM HAVE NICE DAY
 
Pole Zari jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Mrs Van
 
Back
Top Bottom