witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv msiba wa baba watoto wake ulimuumiza???Tayari alishakuwa na dogodogoKuna wakati ukisikia dunia nzito kwa kilo zisizojulikana basi ndio wakati kama huu anaoupitia Zari, hajamaliza machungu ya kufiwa na baba wa watoto wake anakutana na hili la kufiwa na mama yake mzazi. Pole sana Zarinah Hassan na familia yako kwa ujumla. Mwenyezi Mungu Mungu awape nguvu kuhimili haya mapito.
ngoja tuoneDiamond ataahirisha show au ataperform live. Abadilike awe mwanaume asiishi kama mvulana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ya kwenu huko,sio ya muunganiko wa Tanganyika na Zenji.Ili ni pigo kwa Tanzania, yaani hata mazishi ya mama Mwakyembe bado huku kuna msiba mwingine. Almight awape nguvu watanzania wote katika kipindi hiki kigumu.