Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
StrokeDah alipata strock maskini,Cholesterol ikizidi sana mwilini haya ndo matokeo.
Marehemu atakumbukwa kwa kuwa na mwili mkubwaRIP mzee sema jamaa alikua na mwili mkubwa sana
Kweli mkuu, nimewahi kufanya naye kazi flani ya site/porini, mwendo mfupi tu alichoka sana. RIPule mwili lazima ungemletea athari,RIP
Nadhani alimaanisha " stroke "Hiki ni nini?
1.Haemorrhagic stroke due to severe hypertensionDdx
Hypertensive stroke
Acute myocardial infarction
Tupoe sote.AhsantePoleni wana songea
Kila mtu ataonja mauti japo naona kama vile mauti inatuwahi mno kabla ya wakati muafaka wa kudhania tungestahili kufa uzee wa kutosha. Poleni familia ya Songea yote na jf. Hivi RIP nini maana yake wadau?ule mwili lazima ungemletea athari,RIP
we jamaa unajiita BIG mind alafu kifo cha gama hakijakugusa?Simsemi vibaya ila kwa unene huu kifo hakijanistua kwakweli..!
Kwa huo mwili possibly Htn--->Stroke .....RIPDuh, alikuwa anaumwa?