TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

Du namkumbuka sana huyu mzee kipind alipokuwa mkuu wa mkoa alitutembelea pale shulen matolo sec akatusabahi kwa kutushika mikono na akataka kila mmoja ajitambulishe kwa kazi anayoifanya shulen hapo..ni mtu aliyekuwa na mwili mkubwa sana mpaka nikashangaa..kumbe binadamu tunaweza kunenepa kwa kiasi kile...
R.I.P mheshimiwa leonidas gama.
 
we jamaa mpuuzi kweli unajiita BIG mind alafu kifo cha gama hakijakugusa? we ni binadamu au mbwa?
Hujamuelewa! Hajasema hakijamgusa bali "hakijamstua" akimaanisha kwa wenye maumbo kama yale huwa anawafikilia kuwa ktk hatari ya vifo vya ghafla kama hivi,,, BP.
 
Sad news... Poleni sana wana familia... R.I.P
 
poleni sana ndugu, jamaa na marafiki wa familia, Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. poleni wanasongea wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…