TANZIA Tanzia: Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Umbulla(CCM) afariki dunia

Waliambiwa watubu ili wapate toba baada ya madudu ya uchaguzi wakashupaza shingo, basi huu mwaka utakuwa mgumu sana kwao.
 
Pole sana familia hakika kwa hili nafsi kutoka tunafanana.
 
Kwani si tuliambiwa kuwa hakuna kwenda kutibiwa ughaibuni?
 
Rest well Martha
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…