Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Nyumbu Hawana kumbukumbu yoyote achana nao.Kwani Tundu Lissu anatibiwa wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu Hawana kumbukumbu yoyote achana nao.Kwani Tundu Lissu anatibiwa wapi?!
Tatizo lenu hamna kumbukumbu mnadandia mada huku mmemsahau shoga wenu anakotibiwa.Chato International Technical Hospital
Kiumbe nawe kikongwe?Even me naweza kuwa muheshimiwa.
Kwani Joyce Mukya alishawahi kutoa mchango gani hungeni zaidi ya kugombewa na Mbowe na Aeshi.?HUYU MBUNGE ALISHAWAHI KUONGEA MCHANGO GANI BUNGENI NANI ANA VIDEO ...RIP
AU NDIO WALE MAMA MARIA ANAASEMA ; "....wanasombwa kuongeza idadi ya vichwa"
Matusi ya nini? Ushoga anaufanya na baba yako?shoga
Punguza jazba mtu mzima hebu relax acha hasira,wajibu wana kwa staha hakuna haja ya kurusha ngumiTatizo lenu hamna kumbukumbu mnadandia mada huku mmemsahau shoga wenu anakotibiwa.
Nyumbu pingapinga Fc hovyo kabisa.
Umetoka chooni mkuu? Mbona unauliza kitu Kinyume? Ungejipa muda kwanza wa kufuatilia nilivyokuwa namjibu pumba wewe!Martha kamwibia kura Nani we nyumbu pingapinga?
5 tena.Spika wa bunge Job Ndugai ametangaza kifo cha mbunge wa viti maalumu Martha Umbula.
Alikua bado mtoto mbichi kabisa....Aisee, 1955 dada yangu,
Rest Easy dada.
Raha ya Milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie, Martha apumzike kwa amani.Amina!Sipika hawezi kuchagua masalia mengine ya Covid 19 ili azibe nafasi?