TANZIA Tanzia: Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Umbulla(CCM) afariki dunia

TANZIA Tanzia: Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Umbulla(CCM) afariki dunia

RIP Mbunge, hapa duniani sisi ni wapita njia tu, ni sisi tuliobaki kujikumbusha kuishi kwa kutenda haki kama sisi tunavyotaka tupatiwe hiyo haki - ili siku ya mwisho tuhesabiwe haki - Kila nafsi itaonja mauti
 
Shida ni kuwa umepitaje? kwa kuua wenzako/wananchi/wapinzani wako? hili ndilo la msingi
 
Ataulizwa uliwafanyia nini watanzania atajibu nilikuwa naitikia ndiooo hata kama sikuelewa muswada wenyewe
 
Issue ni binadamu kufa na si aina ya ubunge
Mbona binadamu wengi tu wanakufa kwa siku hawatangazwi na wala salama toka ofisi kuu huwa hatuzioni.

Hakuna ubishi hapa ni kuwa ni mbunge kafa, sio ordinary person.
 
Hivi bado wanapelekwa India?

Nakumbuka kama rais alishaapiga marufuku.

Wote watibiwe hapa hapa Tz.
 
HUYU MBUNGE ALISHAWAHI KUONGEA MCHANGO GANI BUNGENI NANI ANA VIDEO ...RIP
AU NDIO WALE MAMA MARIA ANAASEMA ; "....wanasombwa kuongeza idadi ya vichwa"
 
Kwani si tuliambiwa kuwa hakuna kwenda kutibiwa ughaibuni?
Kaenda kwa pesa zake SEMA wewe huna hela ungekuwa nazo hakuna ambaye angekuuliza, ila kwa gharama za serikali lazima uulizwe.
Nyumbu umeelewa?
 
Back
Top Bottom