TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe afariki dunia

TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe afariki dunia

Shark;

Huyo jamaa alionwa na superspot utd ya south afrika kwenye kagame flani ilifanyika rwanda kama sikosei.

Jamaa wakataka kumchukua moja kwa moja bila kufanya majaribio! Bangi hizi jamaa akagoma kwa kuwa wale jamaa walikua na shida sana ya kiungo simba wakawapa matola ambaye alikua tayari umri ushaenda na majeruhi kibao. Ilikuaje akaitosa ile nafasi?

Inasikitisha sana na mnapoona watu hawakumpa sapoti kubwa kwenye matatizo yake wala msilaumu sana alikatisha sana tamaa watu. Alikua na uwezo mkubwa sana jamaa na zile rasta dah ilikua anatazamika vzr sana kwenye dimba lkn ndio hivyo tena!..
 
Last edited by a moderator:
10888701_10152702193599051_5780352479333809541_n.jpg


rip
 
sasa hapo subiria misaada ya viongozi na wachezaji watakavyomiminika kupiga picha za fb na ista. na kwenda kutambiana wakati alivyokuwa hai sidhani hata kama walimtumia kanguvu ka dawa tu,
 
Ndio safari ya maisha. Kila nafsi itaonja mauti.

Hapa cha kutafakari si kukiogopa kifo kwa namna kitavyokuja bali kutafakari namna ya kuandaa nafsi zetu ile dakika itapofika.

Pengine Christopher Alex yuko peponi sasa akishangilia na malaika kama alitubu hivyo kazi ni kwetu tuliobaki ambao itafika dakika kwa ajali, ugonjwa, kuuawa na majambazi n.k tumejiandaaje?

RIP CHRISTOPHER
 
Mwenyezi mungu mwingi wa rehema na mwepesi wa kusamehe akupumzishe kwa amani jemedari wangu....CHRISTOPHER ALLEX MASSAWE....
 
Namkumbuka sana kwenye mechi ya simba na zamaleck ulifanya jitihada kubwa mno pamoja na penalt yako .... R. I. P christopher Alex
 
Back
Top Bottom