Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
RIP massawe,TB inamaliza watu kwa kweli,tubadilike tabia
kwani TB unaipata kwa kujitakia?...maana hata DC naye unasema akipata TB hips zitaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP massawe,TB inamaliza watu kwa kweli,tubadilike tabia
Enzi zile yupo CDA na akina Pawasa tulikuwa tunamwita Mdunya.Alikuwa bonge la mshambuliaji na baadae Simba akawa bonge la beki.RIP Mdunya
Picha hiyo ya juu ni yeye?
Ndio kwa kujitakia kama unapenda sana milupo bila kinga,lazima TB uipatekwani TB unaipata kwa kujitakia?...maana hata DC naye unasema akipata TB hips zitaisha
RIP Masawe, kwa mwenye picha ya Masawe enzi za uhai wake aiweke ili kuweka kumbukumbu sawa