TANZIA: Mchezesha Muziki maarufu nchini DJ Rico, amefariki Dunia

TANZIA: Mchezesha Muziki maarufu nchini DJ Rico, amefariki Dunia

R.I.P Rico huu mwezi wa ma Dj alianza Juice;Pole sana JD nakumbuka enzi za mambo Club The powerful 4
 
Nilimfahamu those days way back 2002-2003... Akipiga studi bekaz namanga msasani wakitokea ea radio yeye, Dj bush baby,marehemu Dj faridah
DJ Faridah amefariki? Si alikuwa Ana sauti nzito kidogo?
 
Yeye ndie aliyekuwa anapiga miziki ya pale kuanzia mchana hadi wanafunga. Na ndani pia huwa anapiga baada n.k

Hapo kaunta ndipo yake ya muziki yanakuwepo kwa mwishoni pale
Mbona skuonagi? yeah yeye nje..ndani anapiga DJ mike Saduka!
 
22007.jpg
Leo Jumapili tumedamkia nyumbani kwa marehemu DJ RICO ya kukabidhi michango kutoka kwa umoja wa ma DJ TWD TANZANIA WORLD WIDE DJ'S pamoja na michango kutoka kwa CLUB LEGENDS MEMBERS.

Mazishi yataanzia katika kanisa la Mtakatifu Immaculata Upanga kesho kuanzia saa 8 mchana na baadae kuelekea makaburini Kinondoni tayari kwa maziko saa tisa na nusu.

Shukrani za dhati kwa maDJ wote, members wa Club Legends na wadau wengine wote kwa michango yao ya hali na mali
Mungu awabariki na azidi kuwapa nguvu ya mshikamano na umoja
R I P DJ RICO WE WILL ALWAYS MISS YOU

John Dillinga
 
Back
Top Bottom