Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unamuulizia Guru aka G lover yupoUnawafahamu kwelikweli maDJs. Hivi DJ Lover yupo wapi?
RIP Rico!!!
DJ Faridah amefariki? Si alikuwa Ana sauti nzito kidogo?Nilimfahamu those days way back 2002-2003... Akipiga studi bekaz namanga msasani wakitokea ea radio yeye, Dj bush baby,marehemu Dj faridah
Mbona skuonagi? yeah yeye nje..ndani anapiga DJ mike Saduka!Yeye ndie aliyekuwa anapiga miziki ya pale kuanzia mchana hadi wanafunga. Na ndani pia huwa anapiga baada n.k
Hapo kaunta ndipo yake ya muziki yanakuwepo kwa mwishoni pale
Mbona skuonagi? yeah yeye nje..ndani anapiga DJ mike Saduka!
DJ Farida amefariki miaka kama 7 hadi 9 iliyopitaDJ Faridah amefariki? Si alikuwa Ana sauti nzito kidogo?
Kama unamuulizia Guru aka G lover yupo