TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

Imekua noma sasa, week mbili mfululizo ni vigogo tu vinang'ooka. Ngoma inachezea mitaa ya bunge na kwa viongozi wa dini.

Bro inabidi atoke alipojificha kulikomboa taifa, au kama vipi taifa lote tukimbilie alipojificha na sisi atufiche huko mpaka balaa liishe.[emoji848]
 
Hivi vifo vimekuwa vingi sana. Hii siyo kawaida.

Hata kama wagonjwa walikuwa na kansa wakapitiwa na kale kaupepo siku mbili za mwisho, si sahihi sana kusema walikufa kwa kansa.

Tokea jana tu hata humu jf tanzia, tanzia jamani twaisha! Hili halina chama.

Viongozi wa dini, marais wastaafu, wenye access na mzee baba hata kwa SMS semeni naye. Jitihada ya kuokoa maisha ina thawabu kubwa hata kwa maulana.
 
Ngoja wapunguwe tyuu covid 19 siyo imekuja kuwaumbuwa na uwepo wa mungu wanayempigia tuu makele,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…