TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

MHSRIP na poleni wote mnaoguswa na msiba huu.
 
NAONA MPO MAKINI NA TANZIA ZA WATU MAARUFU, MBONA KILA SIKU WATU WANAKUFA NA TENA HAIJAANZA LEO.!!! NENDA MOCHWARI UTAONA MAGONJWA NI MENGI SIO KILA KIFO NI CORONA .tUPO MAKIKNI SANA NA VIFO EBU TANGAZENI NA ZA AJALI ZA PIKIPIKI
 
R.I.P baba mchungaji. Mashehe na wachungaji wanafyekwa sana. Hii ni kwa sababu hutembelewa sana na waumini maofisini kwao pia siku za ibada kila muumini mwenye tatizo/shida huenda kumwona shehe/mchungaji. Hivyo ndo wanaambukizwa.
Na mawakili/wanasheria usisahau
 
Back
Top Bottom