TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

Huyu pastor alikuwa akiumwa muda mrefu na kwa kipindi kirefu afya yake haikuwa nzuri na ibada nyingi hakuwa akihudhuria pamoja na umri ulikuwa umesonga sana! Ni kati ya wachungaji wa siku nyingi wa makanisa ya kipentekoste, ibada ya mwaka mpya ya mwaka huu tarehe 1/1/2020 niliabudu kanisa la mwananyamala alilokuwa akisimamia na alitoa historia ya jinsi alivyoanzisha lile kanisani na ibada aliongoza yeye ingawa hakuhubiri yeye! Huyu mzee alikuwa Muhandisi kama sijasahau na aliacha kazi Serikalini miaka ya 1970 mwishoni na kuingia kwenye uchungaji.

RIP Mzee Mwanjenjele!

Sent using kidole gumba
 
Imekua noma sasa, week mbili mfululizo ni vigogo tu vinang'ooka. Ngoma inachezea mitaa ya bunge na kwa viongozi wa dini.

Bro inabidi atoke alipojificha kulikomboa taifa, au kama vipi taifa lote tukimbilie alipojificha na sisi atufiche huko mpaka balaa liishe.[emoji848]
Wale ambao siyo vigogo hawatangazwi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P baba mchungaji. Mashehe na wachungaji wanafyekwa sana. Hii ni kwa sababu hutembelewa sana na waumini maofisini kwao pia siku za ibada kila muumini mwenye tatizo/shida huenda kumwona shehe/mchungaji. Hivyo ndo wanaambukizwa.
 
Imekua noma sasa, week mbili mfululizo ni vigogo tu vinang'ooka. Ngoma inachezea mitaa ya bunge na kwa viongozi wa dini.

Bro inabidi atoke alipojificha kulikomboa taifa, au kama vipi taifa lote tukimbilie alipojificha na sisi atufiche huko mpaka balaa liishe.[emoji848]
Umeamsahau na sekta ya sheria imeguswa sana!
 
mbona ze wachungaji wa kondoo ndio wanashambuliwa sana na kifo 😷 😳 (carina)
 
Huyu pastor alikuwa akiumwa muda mrefu na kwa kipindi kirefu afya yake haikuwa nzuri na ibada nyingi hakuwa akihudhuria pamoja na umri ulikuwa umesonga sana! Ni kati ya wachungaji wa siku nyingi wa makanisa ya kipentekoste, ibada ya mwaka mpya ya mwaka huu tarehe 1/1/2020 niliabudu kanisa la mwananyamala alilokuwa akisimamia na alitoa historia ya jinsi alivyoanzisha lile kanisani na ibada aliongoza yeye ingawa hakuhubiri yeye! Huyu mzee alikuwa Muhandisi kama sijasahau na aliacha kazi Serikalini miaka ya 1970 mwishoni na kuingia kwenye uchungaji.

RIP Mzee Mwanjenjele!

Sent using kidole gumba
Mkuu sifa moja ya corona ni kumalizia
 
Back
Top Bottom