TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

Pole sana ndugu yetu MGIRIKI...........Mungu akupe wepesi kwenye hili.........
R.I.P baba..........
 
Last edited by a moderator:
Daah pole sana mkuu katika kipindi hiki kigumu kwako mgiriki
 
Last edited by a moderator:
Kwa Mungu tumetoka, na kwake ni Marejeo. Ndugu yangu Mgirik Mungu akupe wepesi kipindi hiki kigumu wewe na familia yako.
 
Mungu akupe subira na kukuongoza katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole mpendwa mgiriki, Mungu akusimamie umalize maziko salama ukiwa na nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Uwe na subira katika kipindi hiki kigumu Mgirik
 
Last edited by a moderator:
Pole Mungu akuite nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom