TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

{Kila Nafsi itaonja mauti}
Pole sana Mpendwa Mgrik.... Sote ndo njia yetu, Moula amalze pema baba yetu.
 
Hii pia haikuwa na haja. . . . . .

Nilijua hivo kuwa haina haja, naniliamini maelezo yangu yalijitosheleza, lakini kuna watu watamani kuwajuwa watu kiundani sijui ili iweje???? nikasema labda anataka kuja kuhudhuria mazishi acha nimwelekeze.
 
Kwani maana yakutumia fake ID nini??????
Wewe unataka kujua jina lake ili likusaidie nini?????
Nimetambusha habari za msiba wa Mgirik kwasababu ni rafiki yangu na ndugu yangu over.
Hakika siwezi kutaji jina la mtu hapa kama ambavyo siwezi kutaja langu, wewe ukitaka m-pm yeye mwenyewe akiona atakutajia ila mimi tafadhalii usinibebeshe mzigo.

Kwanu wewe ulivyotoa taarifa hii ulitegemea itatusaidia nini?
 
Pole sana mgirik, Mola akufariji katika wakati huu mgumu.
 
Nilijua hivo kuwa haina haja, naniliamini maelezo yangu yalijitosheleza, lakini kuna watu watamani kuwajuwa watu kiundani sijui ili iweje???? nikasema labda anataka kuja kuhudhuria mazishi acha nimwelekeze.
Ok. . . Poleni sana.
Acha lipite kwa amani usiendeleze mabishano my dada
 
Pole sana Mungu akupe wepesi kipindi hiki kigumu....Ulala Pema Mbinguni Baba
 
Pole sana mkuu mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako tupo nawe pamoja.
 
Pole sana ndg, duniani tunapita tu.
Mungu akupe faraja ktk kipindi hiki kigumu
 
Poleni. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom