TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

Pole mgirik, Mungu akupe nguvu ktk wakati huu mgumu
 
Pole sana na familia yote. Mungu awape subra wakati huu mgumu.
 
Pole sana mgirik akupe nguuvu katika kipindi hichi kigumu kwako
msiba uko mkoa upi au uko sehemu gani mleta mada hii?
 
Samahani best msiba uko wapi au unafanyika lini na lini wanamuaga baba yetu
member mwenzetu amempoteza baba yake mzazi leo hii, hivi yupo kwenye mpango wa kwenda kwao kuhudhuria msiba.

Pole mkuu, mungu akupe uvumilivu.​
 
pole sana kamanda, Mungu akutie nguvu mkuu
 
Member mwenzetu amempoteza baba yake mzazi leo hii, hivi yupo kwenye mpango wa kwenda kwao kuhudhuria msiba.

Pole mkuu, Mungu akupe uvumilivu.​
Pole Mgiriki. Mungu akupe uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu hasa kama ulikuwa unaishi kwa SHIKAMOO
 
Mgirik pole sana.

Huwa naogopa sana ninaposika mwenzangu ameondokewa na mzazi wake, kwa kweli mtihani huu sijawahi kukutana nao.

Wazazi jamani
 
Last edited by a moderator:
Pole Mgiriki. Mungu akupe uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu hasa kama ulikuwa unaishi kwa SHIKAMOO

wewe kuishi kwa shikamoo ndio nini?????
Yeye anajitegemea na anafamilia kabisa, anaishi mkoa tofauti na kwao.
 
Back
Top Bottom