TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

pole sanaa mfiwa, Mungu akupe ujasiri ili ulipite hili
 
Mungu ampumzishe baba kwa amani. mahala pema... pole kwa msiba mkuu MGIRIKI. ni mtihani wa mungu huu.. BE STRONG MKUU
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa kufiwa na mzazi.. Nakuombea kwa Mwenyez Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu kwako na ndugu zako..
 
Pole sana Mgiriki Mungu akupe wepesi katika hili.
 
Pole Best... Ni kanuni ya maisha japo haizoeleki
^^
 
Member mwenzetu amempoteza baba yake mzazi leo hii, hivi yupo kwenye mpango wa kwenda kwao kuhudhuria msiba.

Pole mkuu, Mungu akupe uvumilivu.​
Pole sana sana Mgiriki bro.Niseme nini bwana,sina la kusema,ni wewe umetoa,ni wewe umetwaa jina lako lihimidiwe...R.I.P BABA..
 
Mweeee.Pole, Msiba uko wapi nije.
Mungu awatie nguvu
 
Back
Top Bottom