TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

Pole sana Mkuu Mgirik kwa msiba mkubwa uliowafika. Mungu awape nguvu na subira katika kipindi hiki kigumu wenu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, AMEN.

Last edited by a moderator:
pole sana Mgirik
pole kwa members wate mlioguswa
R.I.P baba
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu mgiriki.Mungu akupe nguvu hasa katika kipindi hiki kigumu.
 
POLE SANA MKUU
MUNGU NDIO KAPANGA na AMEMPENDA ZAIDI
 
Pole sana mgiriki. Roho ya uvumilivu iwe pamoja nawe.
 
Huyo mgiriki jina lake halisi ni nani? Anaishi wapi? Anasafiri kutooa wapi kwenda wapi? Majibu tafadhari.
 
Huyo mgiriki jina lake halisi ni nani? Anaishi wapi? Anasafiri kutooa wapi kwenda wapi? Majibu tafadhari.

Samahani jina atakuja kujitambulisha mwenyewe.
Anaishi morogoro
Anasafiri kutoka moro kwenda kyela-mbeya, ambako ndio kwao.
 
Samahani jina atakuja kujitambulisha mwenyewe.
Anaishi morogoro
Anasafiri kutoka moro kwenda kyela-mbeya, ambako ndio kwao.

Kwanini usingeacha aje ajitambulishe mwenyewe? Kutuambia kuwa member mwenzetu amefiwa halafu utaki tumjue ulikuwa na lengo gani lenye maana? Ila ni nimejuelewa, hebu njoo pm uniambie ni nani huyo member.
 
Pole Sana ndugu Mgirik bwana awe nanyi.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini usingeacha aje ajitambulishe mwenyewe? Kutuambia kuwa member mwenzetu amefiwa halafu utaki tumjue ulikuwa na lengo gani lenye maana? Ila ni nimejuelewa, hebu njoo pm uniambie ni nani huyo member.

Kwani maana yakutumia fake ID nini??????
Wewe unataka kujua jina lake ili likusaidie nini?????
Nimetambusha habari za msiba wa Mgirik kwasababu ni rafiki yangu na ndugu yangu over.
Hakika siwezi kutaji jina la mtu hapa kama ambavyo siwezi kutaja langu, wewe ukitaka m-pm yeye mwenyewe akiona atakutajia ila mimi tafadhalii usinibebeshe mzigo.
 
Back
Top Bottom