TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

pole sana mkuu Mungu akupe nuru katika kipindi hichi kigumu. Pumzika kwa amani mzee wetu.
 
wewe kuishi kwa shikamoo ndio nini?????
Yeye anajitegemea na anafamilia kabisa, anaishi mkoa tofauti na kwao.
Ni kula, kuvalishwa, kulala bure pamoja na pocket money halafu unalipa kwa shikamoo asubuhi na jioni tu basi:A S-baby:
 
i know how it pains when one of ur parents akifa dah pole sana
 
Ndio, kila kitu nafanyiwa, mimi kazi yangu kusema shikamoooooooooooooooooo, huku nimepiga goti, hahahaha
hahaha hongera sana but you 'll never get enough kwa sababu utawekewa limits hivyo hutakuwa na furaha ya kweli, trust me raha ya kitu ukitolee jasho japo kidogo hahahaha
 
hahaha hongera sana but you 'll never get enough kwa sababu utawekewa limits hivyo hutakuwa na furaha ya kweli, trust me raha ya kitu ukitolee jasho japo kidogo hahahaha

Loh!!! yaani wewe umeamini jitu kubwa kama mimi bado nipishane na baba angu koridoni, uuuwiiiiii!!! nilijioneza siku nyingi miaka kadhaa nyuma, hadi sasa ni mkongwe wa maisha, ndio maana naringaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ningekuwa kkb hata mb ningetoa wapi hahahahaha!!!!
 
Back
Top Bottom