Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 461
Heeeeee!!!! we mtoto naomba pita, maana naona unataka kuniharibia mood.
member mwenzetu amempoteza baba yake mzazi leo hii, hivi yupo kwenye mpango wa kwenda kwao kuhudhuria msiba.
Pole mkuu, mungu akupe uvumilivu.​
Samahani best msiba uko wapi au unafanyika lini na lini wanamuaga baba yetu
Pole Mgiriki. Mungu akupe uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu hasa kama ulikuwa unaishi kwa SHIKAMOOMember mwenzetu amempoteza baba yake mzazi leo hii, hivi yupo kwenye mpango wa kwenda kwao kuhudhuria msiba.
Pole mkuu, Mungu akupe uvumilivu.​
Pole Mgiriki. Mungu akupe uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu hasa kama ulikuwa unaishi kwa SHIKAMOO