Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Mods futeni huu uzi,unamdhalilisha marehem pamoja na Lulu, huu upuuzi ndio umesababisha sheria ya mitandao itungwe. ujinga mtupu unaoendelea hapa
 
Mbn atachizika....
Icho kizygot kitaporomoshwa fasta km damu ya mwezini...Hahahahaaaaa. ...hapana chezea watoto wa mujin.
Akishakuw kapi km wema aka tasa aanze kulialia nakutafta makanisa ya ..........mbashalize.....

Haaaahaaa mbashalizeeee uuuuwiiiii watuuuuuu
 
Mungu akipenda kesho mchana, nitaanza safari ya kwenda Dar. Naenda kumzika rafiki yangu kipenzi, japo mazishi hayajapangwa kama ni dar au Mbeya, inategemea na maamuzi ya vikao vya wanafamilia. Maana marehemu ni mwenyeji wa Mbeya ila home kwake mshikaji ni dar, amejenga hapo dar Kinyerezi na Sehemu flan mbele ya kiwanda cha wazo, unafuata njia ya kuelekea Madale. R.I.P my dear friend Samson Lusekero Mwandenga (Seki).

Ile nyumba yake ya Wazo naifahamu, ni bonge la hekalu...

Halafu jamaa ana mke mzuri sana sijui alifuata nn kwa kile kiemolo:sly:
 

Attachments

  • 1429211395907.jpg
    1429211395907.jpg
    41 KB · Views: 1,566
Mtoto ana kinyama tena ni kibaya "Kimenengu" mbona co tatizo kubwaaa anitafute kupitia hapa,mliokuwa msibani mpeni taharifa iz msiba ukiisha tu anitafute kupitia jf.
 
Khaaaaa! Kimbley hebu njoo uone list huku maana hili tulikua hatulijui.
Yaani wanaume wakipata pesa wanakua mashetani jamani! Na sio ajabu ana mke mzuri tu!

Wewe nifah mnalazmishwa au mnatufuata shauri y noti mbna le mbebezzz hamuntaki c hana noti mpya wanawake mnataka mwanaume mwenye noti
 
Last edited by a moderator:
Alipofariki yule rubi wa chichiemu niliwafafanulia kule kwetu ukiona bnt wanaume wanakwisha ujue anakitu ambacho kinaota juu yashimo la kujisaidia kinyama kidogo a.k.a Kimenengu,hiki kinautaratibu wa kukatwa kwa utaratibu wa kimila,kuna dawa ya kienyeji unafanyanyiwa alafu unakatwa unaondoa mikosi yote,sasa wale walio karibu na Lulu wakiona ujumbe huu anitafute kupitia jf gharsma yake ndogo akzarau wanaume watakwisha,

Ha ha ha lulu safari hii wapiga ramli chonganishi watamlia hela zake sana.
 
Tunuombee asije kuwa malaika wa kifo ataiona dunia chungu, namhurumia mno kama kweli alikuwa na mahusiano na huyo marehemu RIP

Huyu mtoto ni kwere, jamaa alikuwa kwenye madini
 

Attachments

  • IMG-20150416-WA0027.jpg
    IMG-20150416-WA0027.jpg
    124.6 KB · Views: 1,460
yaani hawa wanaume ni shida!mwenzako nikiona semina zinakuwa nyingi naanza kushtuka mapemaaa!nakaba mpaka penalty,ukijifanya unazihurumia sana pesa za mwanaume mwenzako anaenda kuhonga malaya kama hawa halafu sisi tunabaki kuomba pesa mwezi mzima hupewi utafikiri sisi ni mahousegirl.

kuna wakati nawewe tumia hasaa pesa zake hata kwasababu za uongo!tukiwaachia sana wanatafuta wa kutumia nao nifah
 
Last edited by a moderator:
Bongo movie kala wolper,aunt,kajala halafu uwoya alikua anarun na best yake anaitwa mako.hao bongo movie kuna wakati walikua wanakaa arusha wiki utadhani wako location kumbe wanatembeza mpapa

Mkuu na wewe hapo bongo movie ulipiga ipi?
 
pole zangu zimuendee mkewe pamoja na watoto..Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Sasa Lulu ni kiboko kama kweli waliompitia wamefariki ila inanipa shida kwa nini yeye peke yake? Kuna wanawake wa namna hii? Wana utofauti gani na wengine?Chanzo kikuu ni nini kwa hawa wanawake ambao wakitembea na mwanaume hufariki?
 
Huyu mtoto ni kwere, jamaa alikuwa kwenye madini

Akateleza,akaanguka....! Kanumba RIP naye akateleza,akaanguka....!, kwenye ulimwengu wa giza kuna maelezo yake hapo kwakuwa coincidence haitokei mara mbili
 
Back
Top Bottom