yaani hawa wanaume ni shida!mwenzako nikiona semina zinakuwa nyingi naanza kushtuka mapemaaa!nakaba mpaka penalty,ukijifanya unazihurumia sana pesa za mwanaume mwenzako anaenda kuhonga malaya kama hawa halafu sisi tunabaki kuomba pesa mwezi mzima hupewi utafikiri sisi ni mahousegirl.
kuna wakati nawewe tumia hasaa pesa zake hata kwasababu za uongo!tukiwaachia sana wanatafuta wa kutumia nao nifah
Mkuu na wewe hapo bongo movie ulipiga ipi?
hahaha okoa maisha ya nduguyo..
Jifanye kama umepanic hivi alafu nenda straight to his face..
Mwambie mpwa chonde chonde kama hukuyakuta tufanye turudi kijijini kwa bibi kabla hali haijawa mbaya..
Ile nyumba yake ya Wazo naifahamu, ni bonge la hekalu...
Halafu jamaa ana mke mzuri sana sijui alifuata nn kwa kile kiemolo:sly:
Kwenda wapi?!Yap hukumbuki sakata la siku kanumba anakufa lulu akakimbia kutoka getini king alikua anapita akampa lifti lulu,
Yap washawahi kutoka nae
Yani mwezi huu mwishoni ilikua aje ar kuna mgodi alikua anakuja kusimamia una wafadhali toka nje.real marehemu alikua mtu w wa2 kuna wengi wamekua matajiri kupitia kwake hakua n roho y kwanini.
Istoshe alikua anafanya uhuni kisiri sana lulu tu kuanzia wolper,kajala,aunt wote kapita nao lulu kaanza nae mwaka juzi
kafunga ig pumbavu zake
mtoto mdogooooo kupenda mijibaba
na bado atakufa vibaya sana huyu mtotooo....!!!
Kweli kabisaa hawa wanaume hawaaa wanaliwa sana pesa na wanawake wa nje dawa ni hiyo
Ile nyumba yake ya Wazo naifahamu, ni bonge la hekalu...
Halafu jamaa ana mke mzuri sana sijui alifuata nn kwa kile kiemolo:sly:
Swali ni jee kwanin kafungaaaaa Hahahahahahaha.....akome
Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2[/QUOTE
Kimbley kwa apa unawezaje kukaba hadi penati ili asihonge nje?!
u know him vizuri
pole mkewe
luluu acha waume za wa watu
Ndio dunia wote tunapita leo kwake kesho kwetu
Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2[/QUOTE
Kimbley kwa apa unawezaje kukaba hadi penati ili asihonge nje?!
Hawa wanawake wanaongea tu ila wao ndio shida wanazileta wanataka gari,nyumba etc bila sisi watakufa njaa.acha wa2 wachepuke maisha yamekua magumu kwao c wasomi mpka kina amina ndala ndefu
Duhh, kwa hiyo anasubiri kifo..maweee!!!Yap hukumbuki sakata la siku kanumba anakufa lulu akakimbia kutoka getini king alikua anapita akampa lifti lulu,
Yap washawahi kutoka nae
Acha 2 nlikimbia huko toka mwaka juzi ctaki mazoea nao halafu huwa wanapeana namba ukifika ar mtafute huyu
sasa lulu si wanasema mjamzito, masikini ashakuwa mjane kwa mara ya pili, gundu hilo. atajibebaje sana na nyumba aliyompangia si ndio atafukuzwa?